Send SMS: 0688493882

Follow us:

SISI wadau tunaowakilisha wananchi wanaotumia mtandao tunaomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 kuwa sheria. Pakua Hapa

 

Tamko la Wadau wa Habari Kuhusu Azma ya Serikali Kupeleka Miswada ya Haki ya Kupata Habari na Huduma za Vyombo vya Habari kwa Utaratibu wa Hati ya Dharura. Pakua Hapa

Sikika is disappointed by the government’s response to the shortages of medicine & medical supplies in the country. Of late, there have been reports from all over the country about this crisis but the government has not intervened promptly, hence, exposing its citizens under risk of advance and complicated illness and even death. Download Here

Sikika is disappointed by the government’s response to the shortages of medicine & medical supplies in the country. Of late, there have been reports from all over the country about this crisis but the government has not intervened promptly, hence, exposing its citizens under risk of advance and complicated illness and even death. Download Here

SIKIKA is concerned with the recent reports that indicate that there is a shortage of essential medicines and medical supplies in public health facilities; in particular for the uninsured population. Download Here

SIKIKA imesikitishwa na tamko lililotolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, kuhusiana na kushindwa kwa vituo vya huduma za afya kununua dawa MSD kutokana na kuongezeka kwa deni. Ni wazi kuwa waziri hajalipa tatizo hili uzito unaotakiwa na kutambua kuwa baadhi ya wagonjwa wanaweza kupoteza maisha kutokana na tatizo hili. Read More

SIKIKA is dismayed by the response given by the Minister of Health and Social Welfare with regards to the crisis facing public health facilities being unable to purchase medicine and supplies due to the accumulated debt at MSD. It is clear that the Minister does not comprehend the gravity of the situation and that he is less concerned that some patients may be dying because of this crisis. Download Here

Tanzania Human rights defenders Coalition (THRDC), an umbrella body of more than100 human rights NGOs in Tanzania, condemns the indefinite ban of SIKIKA operations in Kondoa District Dodoma Region. SIKIKA is a health advocacy local NGO registered in Tanzania with national wide mandate in health governance. Download Here

SIKIKA is saddened by an official statement issued by the office of the District Executive Director of Kondoa stopping all Sikika activities in the district.Download Here

SIKIKA imesikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Download Here

The recently released Controller and Auditor General (CAG) report reveals huge amount of unspent money meant for HIV&AIDS programs during the 2012/13 FY. A total of 58 councils failed to spend about Tsh. 2.3bilion. Download Here

Tunasikitishwa na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala la upungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika sehemu mbalimbali nchini lakini serikali bado haijachukua hatua madhubuti, jambo ambalo linaweza kuchangia wagonjwa kuteseka zaidi na hata kusababisha  vifo. Download Here