Ombi kusitisha upitishwaji wa mswada wa CyberCrime: March 20, 2015
SISI wadau tunaowakilisha wananchi wanaotumia mtandao tunaomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 kuwa sheria. Pakua Hapa