Send SMS: 0688493882

Follow us:

Mara kwa mara, tumekuwa tukitoa matamko na mapendekezo ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, hususan dawa na vifaa tiba. Kwa ujumla, hali ya upatikanaji wa dawa nchini inaanza kuimarika ingawa bado kuna baadhi ya changamoto ambazo tuna imani zinaweza kushughulikiwa. Download Here