Madaktari, sikika wakutana na katibu mkuu CCM, 2019
Leo tarehe 14/05/2019 Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na taasisi ya Sikika wamekutana na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally ofisini kwake Dodoma. MAT iliwakilishwa na rais wake Dk. Elisha Osati na Sikika iliwakilishwa na Mkurugenzi wake Mtendaji Bw. Irenei Kiria. Download Here