Chama cha madaktari Tanzania (MAT) na taasisi ya Sikika wamekutana na katibu mkuu wa CCM
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na taasisi ya Sikika wamekutana na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally ofisini kwake Dodoma. MAT iliwakilishwa na rais wake Dk. Elisha Osati na Sikika iliwakilishwa na Mkurugenzi wake Mtendaji Bw. Irenei Kiria.