Follow us:

  •  Tuma Maoni: 0688493882

×

Ujumbe

EDOCMAN_LOGIN_TO_VIEW_DOCUMENT
You need to login before you can view or download document

unasikitishwa na tunalaani mwendelezo wa ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya watumishi wa afya. Hivi karibuni imeripotiwa na vyombo vya habari kwamba watumishi wawili wa afya katika zahanati ya Mwanhala wilayani Nzega wanatuhumiwa kuwataka kimapenzi wagonjwa. Taarifa hizo pia zilieleza kwamba mmoja wa watumishi hao amewahi kukutwa akifanya ‘mapenzi’ wodini na mgonjwa, nyakati za kazi. Download Here