Follow us:

  •  Tuma Maoni: 0688493882

Uwepo na upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ni moja ya viashiria vya huduma bora za afya  katika nchi yoyote ile. Nchini Tanzania, kumekuwa na uhaba wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ambao umekuwa ukizorotesha utoaji wa huduma za afya na hatimaye kuzorotesha afya za wananchi walio wengi. Download Here