Wanaotaka CAG ang’olewe wanajua Katiba? Gazeti la MZALENDO: Aprili 21, 2013

WIKI iliyopita, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, aliwasilisha Bungeni ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012.

Uwasilishaji huo ulifanyika kutokana na mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa baada ya kukamilisha kazi hiyo ataipeleka kwa Rais na baadaye Bungeni.

Download file .pdf

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors