Upatikanaji na Ufanisi wa Mifumo ya Utoaji Malalamiko Katika Vituo vya Huduma za Afya vya Umma

Screen Shot 2015-05-28 at 12.52.40 PM

Utafiti huu ulifanyika kuangalia uwepo na ufanisi wa mifumo ya kutolea malalamiko katika vituo vya huduma za afya vya umma nchini Tanzania… Wahojiwa katika utafiti huu walikuwa ni watumia huduma katika vituo vya huduma vilivyochaguliwa katika wilaya sita ambazo ni; Temeke, Ilala na Kinondoni katika mkoa wa Dar es Salaam, Kibaha vijijini katika mkoa wa Pwani pamoja na Mpwapwa na Kondoa katika mkoa wa Dodoma… Hizi ni wilaya ambazo Sikika inafanya kazi…

Download

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors