Ukaguzi wa vituo vinavyotoa hunduma za afya

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo katika zoezi la kukagua vituo vya afya nchini
vinavyotoa huduma za afya zikiwemo hospitali, zahanati na maabara. Zoezi hili
linaloendelea nchini lina lengo la kuhakikisha pamoja na mambo mengine taratibu
zilizowekwa za utoji wa huduma bora za afya zinafuatwa na kuzingatiwa na vituo hivyo
pia kubaini vituo ambavyo vimekuwa vikitoa huduma kinyume na taratibu za utoaji wa
huduma za afya ili wachukuliwe hatua zinazostahili.

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors