Uchanganuzi wa Bajeti ya Sekta ya Afya: Kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016

¬†Uchanganuzi wa bajeti ya sekta ya afya ulifanyika kwa kuangalia vipaumbele vya serikali kifedha na makadirio ya fedha kwa mwaka wa fedha 2015/16. Taarifa zilikusanywa kutoka katika Ripoti za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (Randama) na vitabu vya bajeti juzuu ya II, III na IV. Serikali imetenga 8.1% ya jumla ya bajeti ya afya, ambayo ni pungufu ya lengo la Abuja la 15%. Kwa upungufu huo mkubwa wa fedha, hakuna uwezekano wa serikali kufikia malengo yake katika maeneo muhimu kama vile rasilimali watu kwa ajili ya afya, VVU/UKIMWI na dawa na vifaa tiba. Sikika inapendekeza kuharakisha kuanzishwa kwa bima ya afya ya lazima kwa wote, ambayo itasaidia kupunguza pengo la fedha.¬†Read more…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors