Press Release

  
Pongezi Serikali kwa Hatua Kuimarisha Upatikanaji Dawa … iboreshe mifumo kuongeza upatikanaji

Mara kwa mara, tumekuwa tukitoa matamko na mapendekezo ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, hususan dawa na vifaa tiba. Kwa ujumla, hali ya upatikanaji wa dawa nchini inaanza kuimarika ingawa bado kuna baadhi ya changamoto ambazo tuna imani zinaweza kushughulikiwa. Download


MPYA: TUJIPANGE KUZIBA PENGO LA MADAKTARI NCHINI KWANZA: 23 MACHI, 2017

Kwa mujibu wa maelekezo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, inashauriwa daktari mmoja ahudumie watu wasiozidi 8,000. Kwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 50, basi tulitakiwa tuwe na madaktari 6,250 wanaotoa huduma hospitalini. Download…


Civil Society Organizations Statement – Policy Meeting, December 2016

Honorable Ministers, Permanent Secretaries, Deputy Permanent Secretary, Hon. Members of Parliament, Chief Medical Officer, Troika Chair, UN country representatives, Development Partners; staff of the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children; President Office –Regional Administration Local Government, Presidents Office – Public Services Management, Representatives of the Private Sector, ladies and gentleman, good morning. Download…


MEDIA SERVICES ACT, VOICES OF ALL STAKEHOLDERS MATTER: 2nd November 2016

The Bill to enact a law to guide and regulate media services in Tanzania is scheduled for final reading and passage into law in the parliament towards the end of this week. Much as most stakeholders seem to welcome the law, there appears to be strong disagreement regarding as to when it should be passed. One side says it must be passed now and another asks for more time until February 2017. Download…

 


SERIKALI, BUNGE NA WADAU WA HABARI WASIKILIZANE: 1 Novemba 2016

Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwepo na majibizano kupitia vyombo vya habari baina ya Msemaji wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za jamii kwa upande mmoja; na wadau wa habari na vyombo vya habari kwa upande wa pili. Download…


NEW STATEMENT: Urgent And Deliberate Interventions Required To Resolve Chronic Shortages Of Essential Health Commodities

Last week, Sikika held general discussion with the Media on the critical shortage of essential health commodities afflicting the central Medical Stores Department (MSD). The media houses subsequently published accurate and informative news articles on the subject. Download…


MPYA: Jitihada za Haraka Zifanyike Kutatua Uhaba wa Dawa Nchini

Wiki iliyopita Sikika ilikutana na vyombo vya habari kujadili uhaba wa dawa unaoikabili Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Vyombo vya habari kwa nyakati tofauti vilitoa taarifa sahihi kuhusu tatizo hili. Pakua…


TAMKO KUHUSU NAMNA YA KUBORESHA UANDAAJI NA UPITISHAJI WA BAJETI YA SERIKALI

Tunatoa tamko hili sio kwa sababu hatujaona na kuthamini juhudu ambazo serikali ya awamu ya tano inafanya kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima bali tunakusudia kutoa tahadhari kwa watendaji wanaohusika na kutengeneza  bajeti ya mwaka 2016/17. Read more


INCREASE BUDGET ALLOCATION FOR ESSENTIAL MEDICINES AND MEDICAL SUPPLIES

Availability and accessibility of essential medicines and medical supplies in public health facilities are key indicators of the provision of quality health services in every country. In Tanzania, there are frequent stock outs of essential medicines and medical supplies at public health facilities, which contribute to poor provision of health services and consequently affect the health of the majority in the country. Read more


Serikali iongeze Bajeti ya Dawa muhimu na Vifaa Tiba kwa 2015/16

Uwepo na upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ni moja ya viashiria vya huduma bora za afya  katika nchi yoyote ile. Nchini Tanzania, kumekuwa na uhaba wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ambao umekuwa ukizorotesha utoaji wa huduma za afya na hatimaye kuzorotesha afya za wananchi walio wengi. Soma zaidi


Serikali yachelewesha tena vitabu vya Bajeti kwa wabunge

Serikali kwa mara nyingine imeshindwa kuwapatia wabunge vitabu vya makadirio ya bajeti siku 21 kabla ya kikao cha Bunge la bajeti kuanza. Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 96 ya Kanuni za Kudumu za Bunge (toleo la 2007). Download


MAOMBI YA KUKUSIHI KUTO KUTIA SAINI MISWADA YA SHERIA YA TAKWIMU YA 2015

Mhe. Rais, Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania, ni muungano wa mashirika zaidi ya 100 yanayo tetea haki za binadamu Tanzania. Mtandao kwa kushirikiana na Wanachama wake pamoja na wasio wanachama tumehuzunishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Muswaada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Haki za Binadamu kwa Ujumla. Read more…


Tamko la watetezi wa haki za binadamu kumtaka Rais aisitie saini…

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA, Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forums, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria (TANLAP) tumeshtushwa na kusikitishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kurekebisha au kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Read more…


Ombi kusitisha upitishwaji wa Mswada wa CyberCrime…

SISI wadau tunaowakilisha wananchi wanaotumia mtandao tunaomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 kuwa sheria. Download…


Sheria ya makosa ya mtandao mwaka, 2015

SHERIA  hii ya makosa ya mtandao, 2015 imebainika kuwa na mapungufu makubwa sana. Mapungufu hayo yamebainika kuwa, kama sheria ikipita yanaweza kuifanya nchi ikawa ni kati nchi adui za matumizi ya mtandao wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano duniani. Download…


Tamko la Wadau wa Habari Kuhusu Azma ya Serikali Kupeleka Miswada…

Tamko la Wadau wa Habari Kuhusu Azma ya Serikali Kupeleka Miswada ya Haki ya Kupata Habari na Huduma za Vyombo vya Habari kwa Utaratibu wa Hati ya Dharura. Download…


Government should end the Shortage of Safe Blood in the Country: Press Release, 22 March 2015

SIKIKA  is dismayed with the current shortage of the safe blood in the country. Safe blood is one of the essential medicines as it satisfies priority health care needs of the population as categorized by World Health Organization. It is one of its kinds, as once needed, it neither has a natural substitute nor can it be factory-made. Therefore the availability of safe blood in the hospitals is of critical importance. Download…


Deliberate Efforts needed to Reduce the Shortage of Medicine in the Country

Sikika is disappointed by the government’s response to the shortages of medicine & medical supplies in the country. Of late, there have been reports from all over the country about this crisis but the government has not intervened promptly, hence, exposing its citizens under risk of advance and complicated illness and even death.  Read more…


Serikali ichukue hatua thabiti kupunguza uhaba wa dawa

Tunasikitishwa na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala la upungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika sehemu mbalimbali nchini lakini serikali bado haijachukua hatua madhubuti, jambo ambalo linaweza kuchangia wagonjwa kuteseka zaidi na hata kusababisha  vifo.  Read more…


Calls for a Stronger Government Response to the MSD and Public Health Facilities Mounting Debt Crisis

SIKIKA is dismayed by the response given by the Minister of Health and Social Welfare with regards to the crisis facing public health facilities being unable to purchase medicine and supplies due to the accumulated debt at MSD. It is clear that the Minister does not comprehend the gravity of the situation and that he is less concerned that some patients may be dying because of this crisis. Read more…


Serikali isikwepe kulipa malimbikizo ya madeni MSD kuokoa maisha ya Watanzania!

SIKIKA imesikitishwa na tamko lililotolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, kuhusiana na kushindwa kwa vituo vya huduma za afya kununua dawa MSD kutokana na kuongezeka kwa deni. Ni wazi kuwa waziri hajalipa tatizo hili uzito unaotakiwa na kutambua kuwa baadhi ya wagonjwa wanaweza kupoteza maisha kutokana na tatizo hili.Read more…

 


Press statement on the shortage of Medicine and Supplies: Sunday, 26 October 2014

SIKIKA is concerned with the recent reports that indicate that there is a shortage of essential medicines and medical supplies in public health facilities; in particular for the uninsured population. Read more…


A STATEMENT ON THE SUSPENSION OF SIKIKA ACTIVITIES IN KONDOA DISTRICT

Tanzania Human rights defenders Coalition (THRDC), an umbrella body of more than100 human rights NGOs in Tanzania, condemns the indefinite ban of SIKIKA operations in Kondoa District Dodoma Region. SIKIKA is a health advocacy local NGO registered in Tanzania with national wide mandate in health governance. Read more…


PRESS RELEASE: SIKIKA REFUTES ALLEGATIONS MADE BY KONDOA DISTRICT COUNCIL – 03 August 2014

SIKIKA is saddened by an official statement issued by the office of the District Executive Director of Kondoa stopping all Sikika activities in the district.  Read more…


PRESS RELEASE: SIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI,HALMASHAURI KONDOA – 03 Agosti, 2014

SIKIKA imesikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014.Read more….


Advocacy paper on Budget Allocation for Medicines & medical Supplies: – 1 June 2014

Frequent stock outs of essential medicine and medical supplies at public health facilities are the problem in Tanzania.  Read more…


TANGAZO LA MDAHALO WA KATIBA: 31May 2014

MUUNGANO wa Asasi za Kiraia Tanzania umeandaa Mdahalo wa wazi kuhusu  Changamoto za Mchakato wa Katiba mpya. Read more…


Disburse and spend HIVAIDS funds efficiently to save lives! 22 May 2014

The recently released Controller and Auditor General (CAG) report reveals huge amount of unspent money meant for HIV&AIDS programs during the 2012/13 FY. A total of 58 councils failed to spend about Tsh.  2.3bilion. Reas more…


Dispense Budget Books to MPs on time: Monday, 05 May 2014

THE timely release of the national budget books to MPs and the general public is an imperative step in fostering openness, quality and efficiency of the budget…

Dispense Budget Books to MPs on time


Health stakeholders on the right to Health on the new draft Constitution: Feb 10, 2014

WE would first like to congratulate the    Constitutional Review Commission (CRC) for the invaluable work of collecting comments and preparing the second draft of the constitution.  Download file


Madaktari wako wapi? 17 Novemba, 2013

Jumla ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine.

Download file


CSOs’ statement: Joint Annual Health Sector Review, November 2013

Honourable Ministers, Permanent Secretaries, honourable Members of Parliament, Chief Medical Officer, development partners, staff of the Ministry of Health and Social Welfare, PMO-RALG, PO-PSM, representatives of the private sector, ladies and gentleman, good morning.

Download statement


Joint press statement by human rights defenders and media stakeholders

THE Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), a Coalition of more than 50 human rights organizations in collaboration with Media Owners Association of Tanzania (MOAT), Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Media Institute of Southern Africa (Tanzania Chapter) as well as the Media Council of Tanzania (MCT); have received with profound shock and grief over the government’s stance to ban two other newspapers in the country MWANANCHI AND MTANZANIA.

Download file


Watumishi wanaofanya mapenzi na wagonjwa waadabishwe! Septemba, 2013

Tunasikitishwa na tunalaani mwendelezo wa ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya watumishi wa afya.

Download file


Parliament: Make Time to Discuss CAG Report! April 12, 2013

The second part of the Parliament shall be the principal organ of the United Republic which shall have the authority on behalf of the people to oversee and advise the Government of the United Republic and all its organs in the discharge of their respective responsibilities in accordance with this Constitution.

Download file .pdf


ARVs Bandia: Serikali itoe taarifa sahihi kulinda afya za watumiaji: April 12, 2013

Tumesikitishwakupata taarifa kwamba watu 5,358 wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) waliokuwa kwenye matibabu wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo (ARVs), mkoani Dodoma.

Download file .pdf


Kujeruhiwa kwa Sheikh Issa Ponda: Agosti 12, 2013

KWA mara nyingine tena, sisi mashirika ya utetezi wa haki za binadamu, THRD- Coalition, LHRC, SIKIKA, TGNP, CPW na TAMWA tumewaiteni hapa kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu huu kwa wananchi wa Tanzania. Ujumbe wenyewe unahusu kujeruhiwa kwa Sheikh Issa Ponda Issa na hali inayoendelea kukua ya uvunjaji wa haki za binadamu nchini…

Download file


Felicitations for making budget books public: 12 June 2013

Sikika commends the Ministry of Finance and Economic Affairs for uploading the budget books on its website on time. The recent availing of budget information on the Ministry’s website empowers citizens to follow the budget discussions and advise both the government and Members of Parliament (MPs) to address the citizens’ pressing needs.

Download file .pdf


Taarifa kutoka wizara ya afya:Ufafanuzi dhidi ya dawa ya ARVs: Mei 16, 2013

Ufafanuzi wa taarifa mbalimbali zilizotolewa kwenye vyombo vya habari dhidi ya dawa bandia ya kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) yenye jina la biashara tt-vir 30 toleo namba 0c.01.85.

Download file


Sikika haijawahi kuhusika kuandaa maandamano ya WAVIU: Mei 10, 2013

Tumesikitishwa na kauli iliyotolewa bungeni na Mh. Zarina Madabida, mbunge wa viti maalum, mnamo Mei 8, 2013 akidai kwamba Sikika imekuwa ikiwakusanya wagonjwa ambao wanaishi na virusi vya UKIMWI (WAVIU) na kuwachochea waandamane kwenda ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM).

Download file


Taarifa: Bunge lijadili ripoti za CAG kwa Uwazi April 09, 2013

Sikika inapenda kuamini kwamba taarifa zilizochapishwa kwenye magazeti mbali mbali kuhusu Bunge kutojadili ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika mkutano huu wa 11, ama ‘zimenukuliwa vibaya’, au aliyezitoa alikuwa hajawasiliana…

Download file


Global movement launches international campaign to demand open and inclusive budgets

Download file


Statement: Sikika Commends Minister Mwinyi’s Responsiveness Feb 18, 2013

Sikika hails the Minister of Health and Social Welfare (MoHSW), Dr. Hussein Mwinyi, for coming clean that there is a shortage of ALu, the main drug used in the fight against malaria – in public health facilities across the country…

Download file 


Taarifa: Wizara iache ‘siasa’ na malumbano, isambaze dawa za ALu! Feb 10, 2013

Sikika imeshangazwa na taarifa za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba kuna dawa za kutosha aina ya ALU za kutibu malaria   hapa nchini wakati ambapo vituo vya kutolea huduma vya umma vina uhaba mkubwa wa dawa aina hiyo…

Download file


Shortage of antimalarial drugs – Ministry should stop arguments and distribute the drugs! Feb 10, 2013

Sikika has been disturbed by the Ministry of Health and Social Welfare’s statement to the public that there are sufficient anti-malarial drugs– “ALu“ at health facilities across the country, contrary to the reality on the ground where most of the public health facilities have an acute stock out of such medicine…

Download file


Statement on Chronic shortages & stock outs of antimalarial drugs 29 January, 2013

The main drug in the fight against malaria, commonly known as ALu or “Dawa Mseto


Taarifa: Halmashauri yakata kutoa taarifa kwa taasisi isiyo ya serikali

Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO)  katika halmashauri ya Wilaya ya Iramba amekataa kutoa taarifa za kijamii nakusema kuwa hawezi kutoa taarifa kwa taasisi isiyo ya Serikali ya Sikika ambayo kwa sasa ipo katika mafunzo ya kufuatilia na kusimamia uwajibikaji wa jamii ( Public Social Accountability Monitoring – PSAM) wilayani humo.

Download file


CSOs Statement to Joint Annual Health Sector Review – 5 November, 2012

Honourable Ministers, Permanent Secretaries, honourable Members of Parliament, Chief Medical Officer, staff of the Ministry of Health and Social Welfare, PMO-RALG, representatives of the private sector, development partners, ladies and gentleman, good morning.

 Download file


DAWA BANDIA – ARV: Maswali zaidi yanahitaji majibu 11 Oktoba, 2012

Sikika imefurahishwa na taarifa za Wizara ya Afya kuhusu hatua ambazo imechukua hadi sasa kufuatia sakata la dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Hata hivyo taarifa ya wizara iliyotolewa na Waziri wa Afya ndugu Hussein Mwinyi imetuacha na maswali kadhaa kama ifuatavyo:

Download file


Call off the hydrocarbons licensing and put the house in order first September 24, 2012

Tanzania, like most African countries, is endowed with vast, various and valuable resources including forestry, minerals, and hydrocarbons like crude oil and natural gas. However, the country is also among the poorest in the world with two-thirds of the population living in extreme poverty (less than $1.25 in purchasing power parity terms).

 

Download file


Kifo cha Daudi Mwangosi: Unyama huu hadi lini? Septemba 2012

Sikika imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.  Kwa mujibu wa vyombo vya habari, marehemu Mwangosi alikuwa kazini akitimiza wajibu wake wa kutafuta habari…

Download file


MSD’s Stocktaking Closure Affects Medicine Supply June 09, 2012

Recently, the Medical Stored Department (MSD) placed an advert on the newspapers informing health workers and the public at large that they would be temporarily halting their services, except for “emergences


Enough: Stop Mishandling Taxpayers’ Money!April 22, 2012

Sikika is deeply concerned with the shocking reports by the Controller and Auditor General (CAG), revealing high rate of tax exemptions and misappropriation of public funds…

>>> Download file

 


Status of Doctors’ Strike and the right to life, 31 January 2012

Medical doctors servicing public health facilities in Dar es salaam, Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro and Tanga embarked on a three weeks strike from 24 January 2012 that threatened to paralyse the health sector in the country…

>>> Download file


“Make Budgets Public Now!

On 18 November 2011, nearly 100 civil society groups from 56 countries and 12 international organizations, including the International Budget Partnership, Greenpeace, and the ONE Campaign, willa global effort to make public budgets transparent, participatory, and accountable…

www.makebudgetspublic.org


CSO Statement -Health Policy Day 2011

Honorable Minister, Permanent Secretaries, Honorable Members of Parliament, Chief Medical Officer, Staff of the MoHSW, PMO-RALG, MoFEA, Representatives of the Private Sector, Development Partners, Ladies and Gentlemen…

Download file


Hitilafu za Bajeti zaiangusha Wizara ya Afya Mei 29, 2011

Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2010/2011 imejaa mipango isiyofaa na isiyozingatia kanuni, uhalisia na ufanisi hali inayoifanya ishindwe kufanya kazi zake ipasavyo.

Download file


MoHSW Budget Discrepancies Counterproductive

The Ministry of Health and Social Welfare’s 2010/2011 budget is non-conforming, unrealistic, ineffective and inconsistent which is likely to contribute to its malfunctioning…

Download file


Kamati za Bunge kuanza bila nyenzo

Wakati Kamati za Bunge zikianza kesho(Jumatatu) ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Kikao cha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/2012, bado Wabunge hawajakabidhiwa vitabu vya makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka huo wa fedha hali ambayo itadhoofisha uwezo wao wa kuchangia mjadala wake ipasavyo…

Download file


Government Failed!

The Government has failed to avail 2011/2012 budget books to Members of Parliament 21 days before the Parliament budget session as requested by Parliamentary Standing Orders…

Download file


Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ifungwe

Kwa miaka kadhaa sasa, serikali imeshindwa kufuatilia matokeo na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali, na hivyo kukosa uwezo wa kuboresha usimamizi wa fedha za umma…

Download file


Shut down the National Audit Office

For several years now, the government has failed to follow up on the findings and recommendations of the Controller and Auditor General (CAG) and, therefore, missed the chance of improving public financial management.

Download file


Hatua kali zichukuliwe dhidi watumishi wa afya wanaojihusisha na rushwa!

Serikali ichukue hatua kali dhidi ya watumishi wa afya wanaothibitika kujihusisha na vitendo vya rushwa wakati huohuo wananchi wasifumbie macho matukio ya rushwa kama tuna nia ya dhati ya kuondoa tatizo la rushwa katika vituo vya afya.

Download file


Tighten screws on corrupt health workers!

The government should take strict measures against corrupt health workers while the general public put an end to befriending corrupt health workers if any hopes of reducing the vice are to be entertained…

Download file


Tsh176million squandered through congratulatory adverts, April 2011

After the 31st October 2010 general election, various government departments and parastatal organizations spent Tsh 175, 639,750 on 217 congratulatory messages to winners, in the form of advertisements which have been published in various newspapers and other forms of media from the 8th of November 2010 to the 8th of December 2010.

Download file


Million 176 zatumika kutuma salamu za pongezi, Aprili 2011

Baada ya uchaguzi mkuu wa kugombea urais uliofanyika tarehe 31 Oktoba 2010, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia taasisi, idara na mashirika mbalimbali ya umma ilitumia shilingi…

Download file 


Make budget books available on time! Feb 2011

Timely publishing of national budget information to the general public and legislators, by the
government, is a vital step towards increasing transparency in the budgeting process. It also serves as a
model for other countries all over the world.

Download file 


Kuweka wazi vitabu vya bajeti! Feb 2011

Serikali kuweka wazi vitabu vya bajeti kwa wananchi na wabunge ni jambo muhimu katika
kuhimiza Uwazi na uwajibikaji katika mchakato wa bajeti.Pia ni mfano wa kuigwa kwa nchi
nyingine.

Download file


Vichanga vilivyotupwa jalalani Mwananyamala kwa kopa, Feb 2011

Sikika imepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kugundulika kwa miili 10 ya watoto wachanga waliokuwa wametupwa katika shimo dogo la takataka huko karibu na eneo la makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa tarehe 31 Januari 2011…

Download file


Uhaba wa wafanyakazi wa Afya, ni kushindwa kwa Serikali kuwajibika, Dec 2010

Maafisa utumishi wa halmashauri na watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wanapaswa kuangalia mafanikio yao kwa kutatua tatizo la uhaba wa wafanyakazi wa afya, ambalo linarudisha nyuma ubora na ufanisi wa utoaji wa huduma za afya…

Download file


Health worker shortages, a government’s failure to be accountable, Dec 2010

Councils’ Human Resources Officers and President’s Office for Public Services Management (PoPSM) officials should look to their laurels by addressing council specific medical staff shortages that compromise quality and quantity of healthcare service delivery. They should closely collaborate with the Ministry of Health and Social Welfare (MoHSW) and Prime Minister’s Office Regional Administration and Local Governments (PMORALG) to employ new health workers as per annual Councils’ requests.

Following a recent visit to Temeke Hospital by the Minister for Health and Social Welfare, poor quality of health service delivery at the hospital and critical Staff shortages were discovered. While the MoHSW officials laid blame to the Municipal Director for not requesting enough health workers, media reports quoted Temeke Municipal Director, Steven Kongwa saying that in the fiscal year 2009/10, they requested for 250 health workers but only 20 were provided.

Following these contradictory reports, Sikika, a nongovernmental organization working to stimulate governance in the health sector, did analysis of human resource planning by looking at annual health plans for 32 councils IN Tanzania. This was followed up by anonymous interviews with few officials from various levels of government. Our findings indicate that various forms of problems lie at different levels of government.

Download file .pdf


Hon Maige’s ‘cleaning’ of ministry commendable, Dec 2010

The Minister of Natural Resources and Tourism, Ezekiel Maige’s move to ‘clean’ by investigating misdeeds committed in the ministry and imposing a ban on international trips is the right step in the direction of reducing unnecessary use of taxpayer’s money.
Hon Maige among other measures imposed a ban on international journeys by his ministry’s officials saying that they should remain in the country implementing their duties and instead visit our tourist attractions, before warning that stern measures would be taken against irresponsible officials who have been causing the government revenue to drop.

Actually, for the year 2010/11, the Ministry of Natural Resources and Tourism has allocated a total of Tshs 5,184,245,100 for travels out of which Tshs 666,115,000 is for out of country travels and Tshs 4,518,130,100 is for in country travels.

Download file .pdf


CSO statement to PMO-RALG, Oct 2010

Download file .pdf


Rushwa Ndogo Ndogo Inachafua Taaluma ya Utatibu, Oct 2010

Rushwa hapa nchini, imejitokeza katika aina mbili; rushwa ndogondogo na rushwa kubwa. Rushwa ndogo ndogo imekuwa tishio kwa Serikali kwani zimeendelea kukithiri katika sekta ya afya. Hali hii siyo tu inawaathiri watu wenye kipato cha chini (wasio na uwezo wa kutoa hongo), bali pia inachafua taaluma ya udaktari nchini.

Rushwa hapa nchini, imejitokeza katika aina mbili; rushwa ndogondogo na rushwa kubwa. Rushwa ndogo ndogo imekuwa tishio kwa Serikali kwani zimeendelea kukithiri katika sekta ya afya. Hali hii siyo tu inawaathiri watu wenye kipato cha chini (wasio na uwezo wa kutoa hongo), bali pia inachafua taaluma ya udaktari nchini.

Hivi karibuni, Sikika imeandika kitabu kutokana na utafiti uliofanyika juu ya rushwa ndogondogo katika huduma za afya, kitabu hicho kinachojulikana kama “Rushwa Ndogo Ndogo katika Huduma za Afya Dar es Salaam na Pwani ” kinaonyesha jinsi rushwa inavyojitokeza katika utoaji wa huduma za afya katika wilaya nne za Kinondoni, Temeke, Ilala na Kibaha. Lengo hasa la utafiti huo ni kupima uelewa wa watumia huduma za afya katika rushwa na pia kujua dhima, uzoefu na mchango wao kwa katika kuendeleza vitendo vya rushwa na athari za rushwa kwa wanaotafuta huduma za afya.

Download file .pdf


Petty corruption taints medical profession, Oct 2010

With corruption in this country rearing its ugly head in form of both petty and grand corruption, it has been a thorn in the flesh for the government as it continues to dominate the health sector and not only disadvantaging those without the means (the poor) but tainting the reputation of the medical profession in this country.
In a recent book titled “Petty Corruption in Health Services in Dar es salaam and Coast Regions


CSO statement to JAHSR – Sept 2010

Download file .pdf


CSO statement to Joint HIV/AIDS Biennial Review – Sept 2010

Download file .pdf


Unnecessary expenditures to rise 537 bn Tsh by (2010/11)FY

Despite the insufficient funds for the national budget, there are items in this budget that are
considered unnecessary due to their perceived negligible utility to the majority of Tanzanians.
It is fortunate that the government has also recognized this problem of unnecessary expenditure
and has through its top officials like the Prime Minister Mizengo Pinda committed to increase
control over and economize those expenditures.
The sum of all unnecessary expenditures in the Ministries, Departments and Agencies (MDAs)
as well as regions fell from 684 billion (bn) Tanzanian Shillings (TSh) in financial year (FY)
2008/09 to 530 bn TSh in FY 2009/10, which is a reduction of 22.4 percent. But, for the FY
2010/11 these expenditures are expected to rise slightly to 537 bn TSh, a move which
contradicts the government’s stated commitment to spend its resources more wisely.

Download file .pdf


Matumizi yasiyo ya lazima kuongezeka kufika Tsh. 537bn kwa mwaka wa fedha 2010/11

Pamoja na ufinyu wa bajeti ya taifa, kuna baadhi ya vipengele katika bajeti hii ambavyo
vinaonekana kuwa havina tija kutokana kwamba haviwanufaishi watanzania walio wengi.
Ni bahati kwamba serikali pia inalitambua tatizo hili la matumizi yasiyo ya lazima kwa wananchi
walio wengi na kupitia viongozi wa juu wa Serikali kama Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda,
ilidhamiria kuongeza udhibiti wa matumizi hayo.
Jumla ya matumizi yote yasiyo ya lazima katika Wizara, Idara na Taasisi za Serikali yalipungua
kutoka shilingi za kitanzania bilioni 684 katika mwaka wa fedha wa 2008/09 hadi shilingi za
kitanzania bilioni 530 katika mwaka wa fedha 2009/10, ambapo ni punguzo la asilimia 22.4.
Lakini, kwa mwaka wa fedha 2010/11. Matumizi haya yasiyo ya lazima yanategemea
kuongezeka kidogo na kufikia kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 537, hatua ambayo
inapingana na dhamira ya serikali ya kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima.

Download file .pdf


Protect yourselves against cholera: Wananchi, September 2010

Citizens should be on high alert and guard against cholera following an outbreak of the
obnoxious disease claimed four in Tarime recently.
According to media reports, doctors coordinating an anti-cholera campaign in the district
revealed that the number of cholera patients in hospitals around the district had increased from
20 to over 100 as of 25 August 2010.
Sikika advises citizens to keep their environment clean and observe high level of hygiene as this
will go a long way in protecting them against cholera. The general public should also adopt other
preventive measures such as boiling water before drinking or treat it with chlorine or iodine.
They can also resort to other safer beverages such as tea and coffee and carbonated bottled
beverages with no ice.

Download file .pdf


Health sector challenges not a license to corruption, August 2010

Health officials should shun corruption and do their work diligently despite challenges they
might face.
This comes amid reports that expectant mothers at Nyamongo village in Tarime District are
complaining over corrupt practices shrouding services at Sungusungu Health Centre at the
village. In response to the allegations, the medical officer in-charge of the health centre
highlighted that the center is facing staff shortage problem.
Corruption seems to have become a common practice in public health services. This impression
is supported by a snap survey conducted by Sikika in 2007, which covered all districts of Kibaha
and Dar es Salaam. It revealed that 21 percent of the 364 interviewed health workers have been
involved in corrupt behavior.

Download file .pdf


Stop using abusive language: Health Officials and Workers, July 2010

Medical practitioners should desist from using abusive language when addressing patients as it
agitates and discourages them from seeking medical attention.

Recently, it was reported by the media that Morogoro regional authorities addressed complaints
raised by patients who stated that health officials and workers in various facilities in the region
have been using abusive language to patients. Morogoro Regional Commissioner Issa Machibya
told nurses and doctors at a meeting that he received a lot of complaints in his office concerning
health service delivery and mistreating of patients.

Abusive language is against health ethics and it shows unwillingness thereby making patients
failing to perform their work passionately with courtesy as the Health Client Service Charter
states. Health service providers often abstain from communicating with service users, but Sikika
reminds them that communication is vital for the health profession because it influences
productivity and outcomes. Ineffective communication contributes to lost time,
misunderstanding, strained relationships, and inhibits future communication. It is even more
critical because it is not numbers, buildings, or sale targets that are the ultimate goal; it is people,
patients and their health. Good, bad, or nonexistent communication has an impact on the patients.

Download file.pdf


Acheni matumizi ya lugha chafu: Watumishi na wafanyakazi wa Afya, July 2010

Wataalam wa Afya wameonywa kuacha kutumia lugha chafu wanapohudumia wagonjwa kwani kwa
kufanya hivyo kunaathiri tabia ya kutafuta matibabu na kuwakatisha tamaa wagonjwa wanaokwenda
kupata huduma katika vituo vya huduma za afya vya umma.

Hivi karibuni, Mamlaka ya Mji wa Morogoro ilifanyia kazi malalamiko ya wananchi juu ya watumishi na
wafanyakazi wa afya katika vituo mbalimbali vya huduma mkoani humo ambao wamekuwa wakitoa
huduma chini ya kiwango na kutoa lugha chafu kwa wagonjwa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Issa
Machibya amewaambia wauguzi na waganga katika mkutano kwamba amepokea malalamiko mengi
ofisini kwake kuhusu utoaji huduma za afya na unyanyasaji wa wagonjwa.

Lugha chafu kwa wauguzi huthibitisha mmomonyoko wa maadili ya kazi na ukosefu wa wito wa kazi
hivyo kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa kutoa huduma kwa wagonjwa kwa upendo na
unyenyekevu kama ilivyobainishwa katika sera za serikali na Mkataba wa huduma kwa mteja. Sikika
inapenda kuwakumbusha watoa huduma hawa kuwa, mawasiliano ni muhimu hasa katika taaluma ya
afya kutokana na matokeo yake. Kutokuwepo na mfumo thabiti wa mawasiliano baina ya watoa na
watumia huduma kunachangia kwa kiasi kikubwa kupotea kwa muda, kutoelewana, mahusiano mabaya
na kukwamisha uboreshaji wa huduma. Katika huduma za afya, mawasiliano ni muhimu zaidi sababu
lengo kuu ni kujali wananchi, wagonjwa na afya zao na wala si namba, majengo ama mauzo ya huduma
hizo. Hivyo basi, mawasiliano mazuri, duni ama kutokuwepo kabisa mawasiliano kuna athari kubwa kwa
watumia huduma.

Download file .pdf


Government should intensify war on ghost workers – July 2010

The media is awash with reports about 2,924 ghost workers who have been milking from the
government and finally, have been removed from the payroll system. In fact, the government
incurred a loss of Tsh7 billion during 2008/9 financial year from these ghost workers.

According to the reports, the Minister of State in Prime Minister’s office (Policy, Coordination
and Parliamentary affairs), Mr Phillip Marmo said that an appraisal was conducted in the
education sector in 2007 and found a total of 1,413 ghost workers. In another review that was
done for the health sector in 2008, found 1,511 ghost workers.

The Controller and Auditor General (CAG) on the health sector for the year that ended in June
2009 indicates that a sum of Tsh 77,707,817 was paid to retirees, deceased and absconded
employees, which is unpractical and may result into nugatory expenditure of public funds. The
report from the prior financial year (2008) also indicates that there were salaries adding to Tsh
325,574,300 paid to retired, absconders and deceased and chances of recovery are remote.

Download file .pdf


Medical Practitioners should not mislead pregnant women to opt for the knife-July 2010

Medical practitioners should not mislead pregnant women to go for caesarean deliveries for their (doctors)
personal gain.

Some sections of the media recently reported that the number of Caesarean deliveries is escalating at an
alarming rate in this country owing to doctors misleading pregnant women into opting for the knife.
According to their investigations, doctors are encouraging pregnant mothers to opt for caesarean surgery
for profiteering purposes of which hospitals, especially privately owned, are said to be reaping handsome
returns from the growing trend.

The number of caesarean deliveries are said to have risen four times to a shocking 70 percent in a month
according to data from health insurance providers, which was shared with the media. The reports also
state that the payment for a caesarean surgery in middle class private owned hospitals is between Tshs 1.5
million and Tshs 2.5 million, while normal deliveries cost between Tshs 500,000 and Tshs 700,000.

Sikika discovered that though the media quoted recommendations by the World Health Organization
(WHO) that only 15 percent of all births should be done through the knife, the WHO recently dropped these
recommendations arguing that there was no evidence for placing a limit. The WHO now states that “there
is no empirical evidence for an optimum percentage


General Budget Support cuts: a case of shifting burden to citizens- June 2010

THE government should protect against misuse and abuse of public resources to safeguard the development
partners’ budget support contributions for the benefit of the ordinary citizens.
This follows a report from the development partners who agreed to reduce the commitment to the General
Budget Support (GBS) in Tanzania for the recently approved budget (FY 2010/2011) to $534 million. This
amount is $220 million less than the last financial year 2009/2010 commitment.
The development partners announced this in a press release dated on Thursday 13 May, 2010. It not only had
the government running around to look for other sources of funds, but also shifted the burden to ordinary
citizens.
According to the press release, one of the major reasons for this reduction is the slow implementation of reform
programmes, thereby making it difficult to achieve the expected outcomes. Resulting from slow pace of
implementation, many targets like reduction of maternal mortality rate from the current 578 to 265 per 100,000
live births by 2010 (as per the National Strategy for Growth and Reduction of Poverty) are far reaching.
Government’s objectives have been difficult and take long to accomplish mostly because allocation of funds has
not been efficient and effective across all Ministries, Departments and Agencies. A good example is from the
budget books for the year 2008/09 and 2009/2010, where the amount allocated for seminars and related items
stand at Tshs 683,747,329,980 and Tshs 530,337,691,576 respectively. As health activists, we find it unworthy
to spend such a huge amount of money on unnecessary items like these while we have more demanding areas in
the primary health services to concentrate on.
Misuse and abuse of public resources should stop immediately. Under the current financial situation, the
government must improve its performance for the better of the country. Evidence of such issues is documented
in the reports of the Controller and Auditor General. An example of this is found in the audit report for the
Ministry of Health and Social Welfare for the year ended June 2008 and June 2009 of which Tshs. 325,574,300
and Tshs.77, 707,817 respectively were paid to the so called ‘ghost workers‘.
Sikika therefore, feels that the government should avoid unnecessary suffering of citizens by making sure that
transparency and accountability is up held when it comes to the allocation and implementation of budgets in
order not to shift the burden to citizens.

Download file .pdf


Je wabunge wataendelea kupitisha Bajeti – June 2010

Kama wabunge hawana mamlaka ya kubadilisha bajeti iliyosomwa kwa namna yoyote, kama hawapati vitabu vya bajeti katika muda muafaka na kama wanapewa bajeti ya jumla ya serikali kuidhinisha…

Download file


Are MPs going to rubber stamp the Budget – June 2010

If Members of Parliament (MPs) have no constitutional mandate to change any amounts in the presented budget, if they are not given budget books on time, and if they are given highly aggregated budget figures to approve…

Download file 


Distribution of ITNs must not be used for personal gain-June 2010

Public leaders responsible for distributing insecticide treated mosquito nets (ITNs) under the
government-rolled Malaria Haikubaliki programme should make sure that the nets reach the
intended targets.

Download file


Letter for press release – 2009

Download file .pdf


Constituency Development Fund- who decides – August 2007

On 17 August 2007, Prime Minister Edward Lowassa, in his speech to conclude the 8th
Parliament session in Dodoma, told the nation that 7.5 billion shillings have been approved by Parliament for implementation of a Constituency Development Fund (CDF) in financial year 2007/08.

Download file

 


Ukaguzi wa vituo vinavyotoa hunduma za afya

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo katika zoezi la kukagua vituo vya afya nchini
vinavyotoa huduma za afya zikiwemo hospitali, zahanati na maabara. Zoezi hili
linaloendelea nchini lina lengo la kuhakikisha pamoja na mambo mengine taratibu
zilizowekwa za utoji wa huduma bora za afya zinafuatwa na kuzingatiwa na vituo hivyo
pia kubaini vituo ambavyo vimekuwa vikitoa huduma kinyume na taratibu za utoaji wa
huduma za afya ili wachukuliwe hatua zinazostahili.

Download file


CSO statement to JAHSR- 2003

These inputs are provided by five NGOs involved in health policy: African Medical Research Foundation (AMREF), Tanzania Health Consumers Association (THCA), Tanzanian Network of Community Health Funds (TNCHF), Tanzania Public Health Association (TPHA), and the Women’s Dignity Project (WDP).

Download file


CSO statement to JAHSR- 2004

This statement contains key issues of concern to NGOs engaged in health policyi and provides input to the 2004 Health Sector Review (HSR) and the review of the Poverty Reduction Strategy (PRS).

Download file


CSO statement to JAHSR- 2005

The health sector has seen important achievements in recent years, including improvements in immunization coverage, drug supplies, capacity for decentralization, funding allocations to district level, and recent optimism in HIV rates.

Download file


CSO statement to JAHSR- 2006
The Abuja Declaration calls for an allocation of 15% of national budgets for health. While funding of the health sector in Tanzania has increased in recent years, it still falls short of the agreed 15%.

Download file


CSO statement to JAHSR- October 2009

Honorable Minister, Officials from MoHSW, MoF, PMO-RALG, Heads of Diplomatic Missions, all participants, Ladies and Gentlemen, good morning.

Download file


FEMACT reacts on CDCF – August 2009

We members of feminist Activist Coalition FemAct over fifty civil society
organizations(50) who work together to advocate for women and human rights,social transformation and the empowerment of all women and marginalized groups …

Download file


CSO statement to JAHSR- October 2008

Honorable Minister, officials from MoHSW, MoF, PMO-RALG, all participants, ladies and gentlemen, good morning. Honorable Minister, we are pleased with the diversity of participants in this Annual Review and more pleased by this chance for CSOs to be among the opening speakers.

Download file


Kauli ya YAV kuhusu kifo cha mama mjamzito- Mwananyamala Hospitali-June 2008

Download file


President Obama; fulfill your campaign promise to fund global health �May 2009

Dar Es Salaam: — Just few weeks after the World Bank published its report on averting a human crisis during the global downturn in advance of IMF/WB spring meetings, President Obama on May 7th released his five year $3.55 trillion budget for bilateral AIDS programs (PEPFAR).

Download file

 


President Kikwete’s Hiv Aids Campaign-Handle with Care-June 2007

Youth Action Volunteers congratulates the president of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete on his bold
move to lead a campaign against HIV and AIDS in Tanzania. It is, we believe, a unique strategy and
commitment by the highest political leader in Tanzania.

Download file


Has Dar City prevented cholera from breaking out? April 2007

Cholera breaks out in Dar es Salaam almost the same periods of the year for the same causes for many years now. One would expect authorities to have implemented preventive measures and make cholera history in Dar es Salaam because it kills people every year…

Download file


Statement regarding dishonest Public Officials-April 2007

Youth Action Volunteers (YAV) appreciates the culture of transparency which has been practiced by the government of Tanzania over the past years. YAV welcomes and commends the call by President Jakaya Kikwete for dishonest public officials to be held accountable for the improper documentation and misuse of public funds implementation levels.

Download file


CSO statement to JAHSR- Sept 2007

Honorable Minister, officials from MoHSW, MoF, PMO-RALG, all participants, ladies and gentlemen, good morning. Honorable Minister, the participation of stakeholders in poverty reduction and governance is endorsed in the MKUKUTA, JAST, and PAF together with Health Sector and Local Government reforms.

Download file


Felicitations for making budget books public

Sikika commends the Ministry of Finance and Economic Affairs for uploading the budget books on its website on time. The recent availing of budget information on the Ministry’s website empowers citizens to follow the budget discussions and advise both the government and Members of Parliament (MPs) to address the citizens’ pressing needs.

Facilitating for Making Budgets Books Public


KUJERUHIWA KWA SHEIKH ISSA PONDA ISSA

KWA mara nyingine tena, sisi mashirika ya utetezi wa haki za binadamu, THRD- Coalition, LHRC, SIKIKA, TGNP, CPW na TAMWA tumewaiteni hapa kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu huu kwa wananchi wa Tanzania….

KUJERUHIWA KWA ISSA PONDA


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors