Serikali ichukue hatua thabiti kupunguza uhaba wa dawa

Tunasikitishwa na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala la upungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika sehemu mbalimbali nchini lakini serikali bado haijachukua hatua madhubuti, jambo ambalo linaweza kuchangia wagonjwa kuteseka zaidi na hata kusababisha¬† vifo. ¬†Read more…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors