SABABU ZA KIUTAWALA ZINAZOCHOCHEA RUSHWA NDOGONDOGO KATIKA HUDUMA ZA AFYA

Screen Shot 2015-05-28 at 2.22.53 PM

Hii ni ripoti ya utafiti ambao uliagizwa na Sikika, asasi ya kiraia ambayo inafanya kazi ya kuboresha sera na usimamizi wa sekta ya afya nchini Tanzania. Utafiti huu ni mwendelezo wa utafiti wa mwanzo wa rushwa ndogondogo uliokuwa umeagizwa na asasi hii (wakati huo ikijulikana kama Youth Action Volunteers – YAV) kufanywa na washauri walewale. Hivyo, matini nyingi katika sehemu zinazofuata zimechukuliwa kutoka ripoti ya utafiti wa kwanza (Sikika 2010).

Read more

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors