Rushwa Ndogo Ndogo Inachafua Taaluma ya Utatibu, Oct 2010

Rushwa hapa nchini, imejitokeza katika aina mbili; rushwa ndogondogo na rushwa kubwa. Rushwa ndogo ndogo imekuwa tishio kwa Serikali kwani zimeendelea kukithiri katika sekta ya afya. Hali hii siyo tu inawaathiri watu wenye kipato cha chini (wasio na uwezo wa kutoa hongo), bali pia inachafua taaluma ya udaktari nchini.

Hivi karibuni, Sikika imeandika kitabu kutokana na utafiti uliofanyika juu ya rushwa ndogondogo katika huduma za afya, kitabu hicho kinachojulikana kama “Rushwa Ndogo Ndogo katika Huduma za Afya Dar es Salaam na Pwani ” kinaonyesha jinsi rushwa inavyojitokeza katika utoaji wa huduma za afya katika wilaya nne za Kinondoni, Temeke, Ilala na Kibaha. Lengo hasa la utafiti huo ni kupima uelewa wa watumia huduma za afya katika rushwa na pia kujua dhima, uzoefu na mchango wao kwa katika kuendeleza vitendo vya rushwa na athari za rushwa kwa wanaotafuta huduma za afya.

Download file .pdf

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors