Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Temeke

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) inahusu ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji huduma ndani ya jamii. Lengo ni kuona kama huduma itolewayo inaleta tija na inazingatia mahitaji halisi ya wananchi. Dhana hii inatoa nafasi kwa wananchi kuwa na uwezo wa kufuatilia mchakato mzima wa upangaji na ugawaji wa rasilimali, usimamizi wa matumizi yake, ufanisi wa watendaji, uzingatiaji wa maadili, na usimamizi wa mamlaka. Soma zaidi…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors