Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Singida Vijijini

Mfumo wa Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni nyenzo mahususi inayotumika kuhimiza na kuimarisha uwajibikaji wa Jamii na watoa huduma katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Miongoni mwa shabaha kuu ni pamoja na kuhimiza na kuhakikisha watoa huduma wanatoa huduma kwa kuzingatia sheria za nchi, mikataba ya kimataifa na haki za msingi za binadamu. Soma zaidi…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors