Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Mpwapwa

Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya katika ngazi ya Hospitali ya Wilaya, vituo vya afya na zahanati, bado kuna changamoto nyingi zinazokwamisha jitihada hizo na kusababisha kutopatikana kwa huduma bora za afya. Moja ya sababu hizo ni kukosekana kwa uwajibikaji wa jamii.Read more…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors