Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Mpwapwa

Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni mfumo shirikishi wa uwajibikaji unaowataka watendaji wa serikali kutoa taarifa za kina kwa watumia huduma pindi zinapohitajika. Mfumo huu unatoa fursa kwa watendaji na wananchi kuwajibika na kuwajibishana pale inapodhihirika kuwa kuna ukiukwaji wa misingi ya utendaji serikalini na kwenye jamii.  Soma zaidi…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors