Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kinondoni

Mchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuboresha utoaji wa huduma za kijamii, hususani huduma za afya ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki zao za msingi. Sikika iliiwezesha Timu ya UUJ kufanya ufuatiliaji kwa kufuata miongozo sahihi ya kisheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeridhia.  Soma zaidi…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors