Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kibaha

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji wa Jamii (UUJ) inamaainisha ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji wa huduma ndani ya jamii. Lengo ni kuona huduma itolewayo inaleta tija na inazingatia mahitaji halisi ya wananchi. Dhana hii inatoa nafasi kwa wananchi kuwa na uwezo wa kufuatilia mchakato mzima wa upangaji na ugawaji wa rasilimali, usimamizi wa matumizi yake, ufanisi wa watendaji, uzingatiaji wa maadili na usimamizi wa mamlaka.Soma zaidi…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors