Sikika Plans and Reports

  
Annual Report 2015

screen-shot-2016-11-01-at-10-44-52-am

 

During the reporting period (January to December 2015), Sikika continued with the implementation of its programme activities reflecting on four themes: 1) Health, Finance and Governance, 2) Human Resources for Health, 3) HIV and AIDS and 4) Medicines and Supplies. As this is the final year of the Strategic Plan 2011 – 2015, other activities such as the final evaluation of the Strategic Plan and…Read more…


Sikika Strategic Plan 2016 – 20

Executive Summary

In the next five years, Sikika intends to improve quality of health services for all by strengthening Tanzanian health systems and public financial management through social accountability monitoring, research, analysis, media campaigns, dialogue and networking with diverse stakeholders who share similar goals. Some progress has been registered in the areas of health outcomes and public financial management during the past ten years. Sikika Strategic plan 2016 to 2020…


Sikika Financial Statements 2015

Financial Report

Read more…


Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Dawa na Vifaa tiba 2012

Screen Shot 2016-07-05 at 10.50.43 AM

 

 

 

 

Changamoto, Mapendekezo na Maazimio juu ya Ugavi na Usambazaji wa Dawa muhimu na Vifaa tiba nchiniTanzania…Pakua zaidi…


Annual Reports 2014

ANNUAL

 

 

 

 

This report covers the implementation period between January and December2014. It provides key information on the achievements, status of implementation, lessons and challenges within the period. Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Singida Vijijini

Mfumo wa Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni nyenzo mahususi inayotumika kuhimiza na kuimarisha uwajibikaji wa Jamii na watoa huduma katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Miongoni mwa shabaha kuu ni pamoja na kuhimiza na kuhakikisha watoa huduma wanatoa huduma kwa kuzingatia sheria za nchi, mikataba ya kimataifa na haki za msingi za binadamu. Soma zaidi…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Mpwapwa

Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni mfumo shirikishi wa uwajibikaji unaowataka watendaji wa serikali kutoa taarifa za kina kwa watumia huduma pindi zinapohitajika. Mfumo huu unatoa fursa kwa watendaji na wananchi kuwajibika na kuwajibishana pale inapodhihirika kuwa kuna ukiukwaji wa misingi ya utendaji serikalini na kwenye jamii.  Soma zaidi…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kibaha

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji wa Jamii (UUJ) inamaainisha ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji wa huduma ndani ya jamii. Lengo ni kuona huduma itolewayo inaleta tija na inazingatia mahitaji halisi ya wananchi. Dhana hii inatoa nafasi kwa wananchi kuwa na uwezo wa kufuatilia mchakato mzima wa upangaji na ugawaji wa rasilimali, usimamizi wa matumizi yake, ufanisi wa watendaji, uzingatiaji wa maadili na usimamizi wa mamlaka.Soma zaidi…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Temeke

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) inahusu ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji huduma ndani ya jamii. Lengo ni kuona kama huduma itolewayo inaleta tija na inazingatia mahitaji halisi ya wananchi. Dhana hii inatoa nafasi kwa wananchi kuwa na uwezo wa kufuatilia mchakato mzima wa upangaji na ugawaji wa rasilimali, usimamizi wa matumizi yake, ufanisi wa watendaji, uzingatiaji wa maadili, na usimamizi wa mamlaka. Soma zaidi…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kinondoni

Mchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuboresha utoaji wa huduma za kijamii, hususani huduma za afya ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki zao za msingi. Sikika iliiwezesha Timu ya UUJ kufanya ufuatiliaji kwa kufuata miongozo sahihi ya kisheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeridhia.  Soma zaidi…


Ni faida yako….

Ni kwa faida yako...Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ/SAM) ni nini?

Ni mchakato wa kuwawezesha wananchi kushiriki katika kudai uwajibikaji na uadilifu kwenye utoaji wa huduma za jamii. Lengo la Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii (UUJ) au kwa Kiingereza Social Accountability Monitoring (SAM) ni kuwajengea wananchi uwezo wa kutafuta taarifa na kuzichambua ili waweze kushiriki, kusimamia na kufuatilia mipango, bajeti na utekelezaji wa mipango ya mwaka ya serikali na halmashauri katika maeneo yao; mathalani mpango kazi wa mwaka wa idara ya afya, elimu, maji, kilimo n.k. Pakua…


Public Distribution of Medicines and Medical Supplies: Challenges and Resolutions

Screen Shot 2015-01-28 at 2.41.19 PMTHE substantial increase in population in Tanzania calls for increase in the provision of social services including access to medicine and medical supplies at public health facilities…

 

 

 

Download…


Sikika Annual Report 2013

This report covers the period of one year, from January to December 2013. It provides key information on progression towards Sikika’s goals in relation to boundary and strategic partners in the four programme areas. Sikika Annual Report 2013 – Download


Nini Mchango wa Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii katika Huduma za Afya? – ‘Sauti za Wananchi’

Screen Shot 2014-09-30 at 3.15.10 PM

Lengo kuu la kitabu hiki ni kutoa maoni ya wadau walionufaika na dhana ya SAM na namna zoezi hilo lilivyopokelewa na wadau mbalimbali wa afya na jinsi wanavyoutumia uzoefu na ujuzi walioupata kupitia SAM katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kondoa

Screen Shot 2014-02-26 at 8.52.34 AMMchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuboresha utoaji wa huduma za kijamii hususan sekta afya, ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki yao za msingi. Kimsingi, Sikika iliiwezesha Timu ya SAM iliyochaguliwa kufanya shughuli ya ufuatiliaji chini ya miongozo sahihi na kufuata taratibu za kisheria.Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Singida Vijijini

Screen Shot 2014-04-11 at 2.29.40 PMSerikali imepewa dhamana kubwa kusimamia na kutumia rasilimali mbalimbali za uma ili kuwahudumia wananchi. Rasilimali hizi zinazotokana na kodi, mikopo na misaada ya wahisani mbalimbali.

 

 

Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – KITETO

Ufuatiliaji wa wananchi katika huduma za kijamii zinazotolewa ni jambo muhimu ambalo kimsingi kila mwananchi mpenda maendeleo anapaswa kulifanya bila kujali wadhifa au hali yake…

 

 

Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Mpwapwa

Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya katika ngazi ya Hospitali ya Wilaya, vituo vya afya na zahanati, bado kuna changamoto nyingi zinazokwamisha jitihada hizo na kusababisha kutopatikana kwa huduma bora za afya. Moja ya sababu hizo ni kukosekana kwa uwajibikaji wa jamii.Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Iramba

Kazi nzima ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba,iliratibiwa na kusimamiwa na shirika lisilo la Serikali la Sikika, linalofanya kazi zake za ushawishi na utetezi juu ya utawala bora katika sekta ya afya. Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Simanjiro

Ufuatiliaji Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni mfumo shirikishi wa uwajibikaji unaowataka watendaji wa serikali kutoa taarifa za kina kwa watumia huduma wakati zinapohitajika.  Read more…


Ripoti ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) – Kondoa

 Screen Shot 2014-02-26 at 8.52.34 AMMchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuboresha utoaji wa huduma za kijamii hususan sekta afya…

 

 

Read more…


Midterm Evaluation on the Implementation Sikika’s: Report 2013

Mid cover

SIKIKA is a Tanzanian Non-Governmental Organization (NGO) that works to improve governance, transparency andaccountability within the health and HIV/AIDs sectors in Tanzania. Read more…


Sikika Financial statements 2013

Read more…


Financial Statements 2011

>>> Download statement


Financial Statements 2012

Download statement


Ushiriki + Ufuatiliaji + Uwazi = UWAJIBIKAJI

Download file

Sikika ilianza kutekeleza rasmi shughuli ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ), maarufu kama SAM – Social Accountability Monitoring) katika ngazi ya serikali ya mitaa/ vijiji mwanzoni mwa mwaka 2011.

Download file


Sikika Annual report 2012

Screen Shot 2013-12-11 at 3.49.28 PM

 

 

>>>Down load Annual report 2012 3


Stakeholders’ Meeting in Pharmaceutics: November 2012

INTRODUCTION

Stakeholders’ Meeting in Pharmaceutics

 

In November 2012, Sikika invited stakeholders in pharmaceuticals’ procurement and supply system from various parts of the country, to take part in a one-day stakeholders’ meeting to brainstorm on challenges facing the procurement and distribution of medicines and medical supply systems in the public sector and to provide recommendations on how to address the identified challenges.

Download file

 


Sikika Annual report 2011

 

Download file


Sikika logical Framework 2006- 2010

Annual Report – 2005

Sikika Programme strategy 2006- 2010

Annual Report – 2010

Audited Financial Report – 2010

Download file .pdf


Mid year Report – 2010

Download file .pdf


Quarter 1 Report-2010

Download file .pdf


Activity Plan 2010

Download file .pdf


Annual Report – 2009

Audited Financial Report-2009

Mid year Report – 2009

Download file .pdf


Quarter 2 Report – 2009

Quarter 1 Report – 2009

Download file .pdf


Annual Report – 2008

Quarter 4 Report – 2008

Download file .pdf


Quarter 3 Report – 2008

Download file .pdf


Quarter 2 Report – 2008

Download file .pdf


Quarter 1 Report – 2008

Download file .pdf


Audited Financial Report – 2008

Annual Report – 2007

Download file .pdf


Audited Financial Report – 2007

Download file .pdf


Annual Report – 2006

Download file .pdf


Audited Financial Report – 2006

Download file .pdf


Audited Report – 2005

Download file .pdf


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors