Download

Download

Mara kwa mara, tumekuwa tukitoa matamko na mapendekezo ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi, hususan dawa na vifaa tiba. Kwa ujumla, hali ya upatikanaji wa dawa nchini inaanza kuimarika ingawa bado kuna baadhi ya changamoto ambazo tuna imani zinaweza kushughulikiwa.

Ufuatiliaji wa Sikika uliofanyika kupitia mahojiano na wananchi waliotoka kupata huduma za afya, asilimia 81 ya waliohojiwa mwaka 2017 waliweza kupata dawa zote walizoandikiwa ukilinginisha na asilimia 51 ya wananchi waliohojiwa mwaka 2016 (ongezeko la asilimia 30). Ufuatiliaji huu ulifanyika katika wilaya ambazo Sikika inafanya kazi. Sikika inaipongeza serikali kwa hatua inazochukua katika kuimarisha upatikanaji wa dawa nchini hasa ikikumbukwa kwamba:

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors