Ni faida yako….

Ni kwa faida yako...Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ/SAM) ni nini?

Ni mchakato wa kuwawezesha wananchi kushiriki katika kudai uwajibikaji na uadilifu kwenye utoaji wa huduma za jamii. Lengo la Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii (UUJ) au kwa Kiingereza Social Accountability Monitoring (SAM) ni kuwajengea wananchi uwezo wa kutafuta taarifa na kuzichambua ili waweze kushiriki, kusimamia na kufuatilia mipango, bajeti na utekelezaji wa mipango ya mwaka ya serikali na halmashauri katika maeneo yao; mathalani mpango kazi wa mwaka wa idara ya afya, elimu, maji, kilimo n.k. Pakua…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors