Maoni yetu juu ya repoti ya ukaguzi wa fedha wizara ya afya na ustawi wa jamii kwa mwaka 1998/99-2006/07

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ilianzishwa chini ya Ibara ya 143, ibara ndogo ya 5 ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005 kwa ajili ya ukaguzi wa hesabu za serikali na asasi nyingine za umma.

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors