Maoni kuhusu bajeti ya sekta ya afya – 2007/2008

Ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma (PER) ni moja kati ya vipengele vya mchakato wa mipango na bajeti ya serikali, vyenye lengo la kuhakikisha mfumo wa matumizi ya serikali unarandana na vipaumbele vya kisera kama vilivyo ainishwa katika mkakati wa kupunguza umasikini, ambao ni mkakati wa muda wa kati wa kupunguza umasikini ulioanzishwa kwa ushirikiano kati ya wadau wa kitaifa na wa kimataifa.

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors