Maoni kuhusu Afya ya Mama na Mtoto – 2006/2007

Muhtasari huu unatokana na ushirikiano kati ya YAV, Asasi ya Usawa katika Afya na Kamati za Bunge za Huduma za Jamii na Ustawi wa Jamii wenye lengo la kuchangia katika jitihada kupunguza vifo vya wanawake wajawazito. Mpaka sasa jitihada za wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika mapambano haya hazijafanikiwa na wala hazikaribii mafanikio.

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors