MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA KWA WATUMISHI WA AFYA

Screen Shot 2015-05-28 at 12.52.04 PMKuwapo kwa tabia zisizozingatia maadili miongoni mwa watumishi wa afya kunazuia upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi kwani husababisha mvurugano wa uhusiano na maelewano kati ya wafanyakazi wa afya na watumia huduma za afya. Kukosekana kwa uhusiano mzuri kati ya pande hizi mbili (watoa huduma na watumia huduma), ni mojawapo ya sababu inayopelekea watumia huduma kutoridhika na huduma.

 Read more

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors