Leta Mabadiliko Boresha Huduma za afya – Mwongozo wa Mwananchi

Screen Shot 2013-12-11 at 11.32.32 AM

 

Ili kuishi maisha marefu na ya furaha, kila mtu anahitaji kupata huduma bora za afya. Kwa bahati mbaya, Tanzania ni nchi masikini na mfumo wake wa huduma za afya unakabiliwa na uhaba wa fedha ambao husababisha vikwazo kama vile; mazingira magumu ya kufanyia kazi na utendaji usio na tija.

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors