Kondoa

Screen Shot 2014-02-26 at 8.52.34 AMMchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuboresha utoaji wa huduma za kijamii hususan sekta afya, ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki yao za msingi. Kimsingi, Sikika iliiwezesha Timu ya SAM iliyochaguliwa kufanya shughuli ya ufuatiliaji chini ya miongozo sahihi na kufuata taratibu za kisheria.  Read more…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors