Social Accountability Monitoring

Social accountability monitoring is an approach that is used to advocate for community/citizens engagement in at the council level for improved health service provision. It promotes community engagement, in planning and monitoring, performance, transparency and accountability and LGAs level.

SAM  SAM  SAM

 

 

SAM REPORTS

Ni kwa faida yako... 2014

Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ/SAM) ni nini? 

Ni mchakato wa kuwawezesha wananchi kushiriki katika kudai uwajibikaji na uadilifu kwenye utoaji wa huduma za jamii. Lengo la Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii (UUJ) au kwa Kiingereza Social Accountability Monitoring (SAM) ni...

Soma zaidi...

Singida Vijijini 2014

Mfumo wa Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) ni nyenzo mahususi inayotumika kuhimiza na kuimarisha uwajibikaji wa Jamii na watoa huduma katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Miongoni mwa shabaha kuu ni pamoja na kuhimiza na kuhakikisha watoa huduma wanatoa huduma kwa kuzingatia sheria za nchi, mikataba ya kimataifa na haki za msingi za binadamu.

Soma zaidi...

 

Mpwapwa 2014

Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ili kuboresha upatikanaji wa huduma za afya katika ngazi ya Hospitali ya Wilaya, vituo vya afya na zahanati, bado kuna changamoto nyingi zinazokwamisha jitihada hizo na kusababisha kutopatikana kwa huduma bora za afya. Moja ya sababu hizo ni kukosekana kwa uwajibikaji wa jamii. 

Soma zaidi...

Temeke 2014

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ) inahusu ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji huduma ndani ya jamii. Lengo ni kuona kama huduma itolewayo inaleta tija na inazingatia mahitaji halisi ya wananchi...

Soma zaidi...

Ilala 2014

Mchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji wa Jamii (UUJ) ujulikanao kama “Social Accountability Monitoring - SAM” ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Ilala kuboresha utoaji wa huduma za kijamii hususan sekta afya...

Soma zaidi...

Sauti za Wananchi 2013

Sikika ilitekeleza zoezi la Ufuatiliaji Uwajibikaji wa Jamii - (Social Accountability Monitoring – SAM) mwaka 2012 katika wilaya za Kiteto, Kondoa, Mpwapwa, Singida Vijijini na Iramba ili kusaidia kuboresha utolewaji wa huduma za afya nchini. 

Soma zaidi...

Kinondoni 2013

Mchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuboresha utoaji wa huduma za kijamii, hususani huduma za afya ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki zao za msingi....

Soma zaidi...

Kibaha 2013

Dhana ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji wa Jamii (UUJ) inamaainisha ushiriki wa wananchi katika kufuatilia michakato ya kiutendaji na utoaji wa huduma ndani ya jamii...

Soma zaidi...

Hatua 9 za Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii 2013

Sikika ilianza kutekeleza rasmi shughuli ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ), maarufu kama SAM - Social Accountability Monitoring) katika ngazi ya serikali ya mitaa/ vijiji mwanzoni mwa mwaka 2011. 

Soma zaidi...

Simanjiro 2013

Ripoti hii ni majumuisho ya shughuli zote zilizofanywa na Timu ya UUJ kwa kipindi chote cha Ufuatiliaji Uwajibikaji Jamii kwa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro.  

Soma zaidi...

Mpwapwa 2012

Kazi ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji wa Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa imeratibiwa na kusimamiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Sikika linalofanya kazi zake katika misingi ya ushawishi na utetezi juu ya utawala bora katika sekta ya afya...

Soma zaidi...

Iramba 2012

Kazi nzima ya Ufuatiliaji wa Uwajibikaji Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba,iliratibiwa na kusimamiwa na shirika lisilo la Serikali la Sikika, linalofanya kazi zake za ushawishi na utetezi juu ya utawala bora katika sekta ya afya. 

Soma zaidi...

Singida Vijijini 2012

Serikali imepewa dhamana kubwa kusimamia na kutumia rasilimali mbalimbali za uma ili kuwahudumia wananchi. Rasilimali hizi zinazotokana na kodi, mikopo na misaada ya wahisani mbalimbali.  

Soma zaidi...

Kondoa 2012

Mchakato wa Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa Jamii ulikusudia kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuboresha utoaji wa huduma za kijamii hususan sekta afya, ili wananchi wanufaike na huduma hizo kama haki yao za msingi. 

Soma zaidi...

Kiteto 2012

Screen Shot 2014 04 11 at 2.27.21 PM 210x300Ufuatiliaji wa wananchi katika huduma za kijamii zinazotolewa ni jambo muhimu ambalo kimsingi kila mwananchi mpenda maendeleo anapaswa kulifanya bila kujali wadhifa au hali yake...

 

 

 

 

Read more...