MPYA: Jitihada za Haraka Zifanyike Kutatua Uhaba wa Dawa Nchini

Wiki iliyopita Sikika ilikutana na vyombo vya habari kujadili uhaba wa dawa unaoikabili Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Vyombo vya habari kwa nyakati tofauti vilitoa taarifa sahihi kuhusu tatizo hili

Soma zaidi...NEW STATEMENT: Urgent And Deliberate Interventions Required To Resolve Chronic Shortages Of Essential Health Commodities

Last week, Sikika held general discussion with the Media on the critical shortage of essential health commodities afflicting the central Medical Stores Department (MSD). The media houses subsequently published accurate and informative news articles on the subject.

Read more...SERIKALI, BUNGE NA WADAU WA HABARI WASIKILIZANE: 1 Novemba 2016

Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwepo na majibizano kupitia vyombo vya habari baina ya Msemaji wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za jamii kwa upande mmoja; na wadau wa habari na vyombo vya habari kwa upande wa pili

Soma zaidi...MEDIA SERVICES ACT, VOICES OF ALL STAKEHOLDERS MATTER: 2nd November 2016

The Bill to enact a law to guide and regulate media services in Tanzania is scheduled for final reading and passage into law in the parliament towards the end of this week. Much as most stakeholders seem to welcome the law, there appears to be strong disagreement regarding as to when it should be passed. One side says it must be passed now and another asks for more time until February 2017.

Read more...Civil Society Organizations Statement – Policy Meeting, December 2016

Honorable Ministers, Permanent Secretaries, Deputy Permanent Secretary, Hon. Members of Parliament, Chief Medical Officer, Troika Chair, UN country representatives, Development Partners; staff of the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children; President Office –Regional Administration Local Government, Presidents Office – Public Services Management, Representatives of the Private Sector, ladies and gentleman, good morning.

Read more...Serikali iongeze Bajeti ya Dawa muhimu na Vifaa Tiba kwa 2015/16

Uwepo na upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ni moja ya viashiria vya huduma bora za afya  katika nchi yoyote ile. Nchini Tanzania, kumekuwa na uhaba wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma ambao umekuwa ukizorotesha utoaji wa huduma za afya na hatimaye kuzorotesha afya za wananchi walio wengi