Serikali ichukue hatua thabiti kupunguza uhaba wa dawa

Tunasikitishwa na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala la upungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika sehemu mbalimbali nchini lakini serikali bado haijachukua hatua madhubuti, jambo ambalo linaweza kuchangia wagonjwa kuteseka zaidi na hata kusababisha  vifo

Read MoreDeliberate Efforts needed to Reduce the Shortage of Medicine in the Country

Sikika is disappointed by the government’s response to the shortages of medicine & medical supplies in the country. Of late, there have been reports from all over the country about this crisis but the government has not intervened promptly, hence, exposing its citizens under risk of advance and complicated illness and even death.

Read MoreGovernment should end the Shortage of Safe Blood in the Country: Press Release, 22 March 2015

SIKIKA  is dismayed with the current shortage of the safe blood in the country. Safe blood is one of the essential medicines as it satisfies priority health care needs of the population as categorized by World Health Organization. It is one of its kinds, as once needed, it neither has a natural substitute nor can it be factory-made. Therefore the availability of safe blood in the hospitals is of critical importance. 

Read MoreTamko la Wadau wa Habari Kuhusu Azma ya Serikali Kupeleka Miswada...

Tamko la Wadau wa Habari Kuhusu Azma ya Serikali Kupeleka Miswada ya Haki ya Kupata Habari na Huduma za Vyombo vya Habari kwa Utaratibu wa Hati ya Dharura

Read MoreSheria ya makosa ya mtandao mwaka 2015

SHERIA  hii ya makosa ya mtandao, 2015 imebainika kuwa na mapungufu makubwa sana. Mapungufu hayo yamebainika kuwa, kama sheria ikipita yanaweza kuifanya nchi ikawa ni kati nchi adui za matumizi ya mtandao wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano duniani. 

Soma zaidi...Ombi kusitisha upitishwaji wa Mswada wa CyberCrime...

SISI wadau tunaowakilisha wananchi wanaotumia mtandao tunaomba Bunge lisipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 kuwa sheria

Soma zaidi...Tamko la watetezi wa haki za binadamu kumtaka Rais aisitie saini...

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA, Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forums, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria (TANLAP) tumeshtushwa na kusikitishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kurekebisha au kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Soma zaidi...Serikali yachelewesha tena vitabu vya Bajeti kwa wabunge

Serikali kwa mara nyingine imeshindwa kuwapatia wabunge vitabu vya makadirio ya bajeti siku 21 kabla ya kikao cha Bunge la bajeti kuanza. Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 96 ya Kanuni za Kudumu za Bunge (toleo la 2007).

Soma zaidi...INCREASE BUDGET ALLOCATION FOR ESSENTIAL MEDICINES AND MEDICAL SUPPLIES

Availability and accessibility of essential medicines and medical supplies in public health facilities are key indicators of the provision of quality health services in every country. In Tanzania, there are frequent stock outs of essential medicines and medical supplies at public health facilities, which contribute to poor provision of health services and consequently affect the health of the majority in the country.

Read more...TAMKO KUHUSU NAMNA YA KUBORESHA UANDAAJI NA UPITISHAJI WA BAJETI YA SERIKALI

Tunatoa tamko hili sio kwa sababu hatujaona na kuthamini juhudu ambazo serikali ya awamu ya tano inafanya kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima bali tunakusudia kutoa tahadhari kwa watendaji wanaohusika na kutengeneza  bajeti ya mwaka 2016/17. 

Soma zaidi...