Ilani ya Uchambuzi wa baadhi ya vyama vya Siasa (2010-2015)

Screen Shot 2015-10-23 at 10.25.37 AMSikika ilifanya uchambuzi wa ilani za vyama vinne vya siasa za mwaka 2010 -2015 ili kufikia malengo makuu mawili. Kwanza, kubaini ahadi za vyama vya siasa kuwafikishia wananchi huduma za afya katika maeneo manne muhimu ambayo ni utawala bora, usimamizi wa fedha na rasilimali watu – afya, dawa, vifaa tiba na huduma za UKIMWI na Virusi vya UKIMWI (VVU) kupitia ilani zao.

Download…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors