Kiteto

Kiteto ni moja ya wilaya 6 zilizo ndani ya Mkoa wa Manyara. Kama ilivyoanishwa katika Mpango Mkakati, wilaya ya Kiteto ina ukubwa wa km2 16,685 na wakazi wasiopungua 152,296 kufuatia sensa wa makazi na watu ya mwaka 2002. Kiwango hiki cha watu kinakadiriwa kufikia 228,462 kwa mwaka 2011.  Read more…

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors