Simanjiro

Ripoti hii ni majumuisho ya shughuli zote zilizofanywa na Timu ya UUJ kwa kipindi chote cha Ufuatiliaji Uwajibikaji Jamii kwa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro. Zoezi hili lilijikita kwenye tathmini ya shughuli zilizopangwa na kutekelezwa katika kipindi cha mwaka 2011/2012, ambapo kwa sehemu kubwa makabrasha ya utekelezaji yamekamilika na kutathminiwa na vyombo vya ukaguzi mfano, CAG.  Read more…

2 responses to “Simanjiro”

  1. nawatakia ushirikiano mwema.

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors