Abstract of budget analysis for HIV/AIDS – 2009-2010

Kwa kupitia nyaraka mbalimbali zilizoandaliwa na serikali, uchambuzi huu
unalenga kuangalia mgawanyo wa fedha za UKIMWI kwa mwaka 2009/2010 ili kuwataarifu wadau mbalimbali kuhusu mwelekeo wa taifa katika juhudu zake za kupambana na suala mtambuka la UKIMWI

Download file

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors